Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (AS) -ABNA-linaarifu kuwa Jumatatu, tarehe 22 Septemba 2025, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa kuuawa shahidi kwa Sayyid Hassan Nasrallah, Husseiniyya ya Karbala iliyoko Lebanon – Beirut – Dhahiya itaandaa Majlisi ya Kumbukumbu ya Shahada kuanzia majira ya saa 2:30 usiku.
Katika hafla hiyo: Mzungumzaji mkuu atakuwa Sheikh Muhammad Sadiq.
- Wasomaji na waimbaji wa majlisi ya maombolezo watakuwa:
- 1_ Muhammad Hussein Pouyanfar
- 2_Sayyid Amir Husayni
- 3_Hussein Khayruddin.
Your Comment